LATEST POST

Fred Koublan Sio Mbovu kama wengi anavodhani ‘PASCAL KABOMBE

Fred Koublan Sio Mbovu kama wengi anavodhani 'PASCAL KABOMBE. "Kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu usajili wa dirisha dogo kwa timu mbalimbali japo kwa...

Yusuph Manji : Hans Poppe Aivuruga Simba

Yusuph Manji : Hans Poppe Aivuruga Simba. “Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya...

Wafungaji bora wa Ligi ya Mabingwa 2023/24: Harry Kane, Kylian Mbappé, Erling Haaland, Antoine Griezmann

Wafungaji bora wa Ligi ya Mabingwa 2023/24: Harry Kane, Kylian Mbappé, Erling Haaland na Antoine Griezmann wote waliongeza idadi yao katika mechi zao za...

Nusu Finali ni ya Al Ahly Vs Esperance Sportive de Tunis na Mamelodi Sundowns Vs TP Mazembe

Nusu Finali ni ya Al Ahly Vs Esperance Sportive de Tunis na Mamelodi Sundowns Vs TP Mazembe. Vilabu mashuhuri barani Afrika, Al Ahly ya...

Usiku wa Ligi ya Mabingwa Barani Africa CAFCL April 5, 2024

Michezo michezo miwili ya Ligi Ya Mabingwa Barani Afrika CAFCL ulipigwa usiku wa Ijumaa kati ya miamba wa Miisri Al Ahly dhidi ya Simba...

KIMENUKA BRUNO GOMES ATIMUKA SINGIDA FOUNTAIN GATE SABABU ZOTE ZAELEZWA

Bruno Gomes Atimuka Singida Fountain Gate. Kiungo mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Mbrazili Bruno Gomes ametangaza kuachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya pande...
SportsKIMENUKA BRUNO GOMES ATIMUKA SINGIDA FOUNTAIN GATE SABABU ZOTE ZAELEZWA

KIMENUKA BRUNO GOMES ATIMUKA SINGIDA FOUNTAIN GATE SABABU ZOTE ZAELEZWA

Bruno Gomes Atimuka Singida Fountain Gate. Kiungo mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Mbrazili Bruno Gomes ametangaza kuachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya pande mbili.

Nyota huyo aliyeitumikia timu hiyo kwa misimu miwili akitokea klabu ya Jacobinense EC ya kwao Brazil, amethibitisha taarifa za kuondoka kwake kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram.

KIMENUKA BRUNO GOMES ATIMUKA SINGIDA FOUNTAIN GATE SABABU ZOTE ZAELEZWA

“Leo nina habari muhimu ya kuwashirikisha. Baada ya kutafakari kwa kina na majadiliano (kati yake na klabu) tumefikia uamuzi mgumu, lakini tunaamini ni bora kwa pande zote zinazohusika,” ameandika katika mtandao huo.

“Ningependa kuwajulisha kwamba kumekuwa na uvunjaji wa mkataba kwa upande mmoja kutoka kwa klabu na kwa bahati mbaya hii imesababisha kumalizika kwa uhusiano wangu na klabu. Uamuzi huu haukuwa rahisi, lakini ulifanyika kwa nia ya kuhakikisha tunaweza kuendelea mbele kwa njia ambayo ni chanya na yenye ujenzi kwa wote.

“Ingawa mkataba wetu umefikia kikomo, jua kwamba upendo na heshima niliyo nayo kwenu (mashabiki wa Singida Fountain Gate) itabaki milele. Kamwe sitasahau athari mliyonayo kuondoka kwangu kama mchezaji na kama mtu.

“Ahsante kwa kuwa nami. Natumaini tutaendelea kuwa na uhusiano mzuri hata kama njia zetu zitachukua mielekeo tofauti.”

KIMENUKA BRUNO GOMES ATIMUKA SINGIDA FOUNTAIN GATE SABABU ZOTE ZAELEZWA

Msimu uliopita ndio ambao ulikuwa bora wake ulikuwa mkubwa kwani alifunga mabao 10 katika Ligi Kuu Bara na kuzivutia timu Simba na Yanga.

Licha ya msimu huo kuwa bora, lakini mambo yamekuwa magumu kwake msimu huu kwani nyota huyo hadi anaondoka amefunga bao moja tu baada ya kuandamwa na majeraha ya mara kwa mara.

RELATED