LATEST POST

Fred Koublan Sio Mbovu kama wengi anavodhani ‘PASCAL KABOMBE

Fred Koublan Sio Mbovu kama wengi anavodhani 'PASCAL KABOMBE. "Kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu usajili wa dirisha dogo kwa timu mbalimbali japo kwa...

Yusuph Manji : Hans Poppe Aivuruga Simba

Yusuph Manji : Hans Poppe Aivuruga Simba. “Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya...

Wafungaji bora wa Ligi ya Mabingwa 2023/24: Harry Kane, Kylian Mbappé, Erling Haaland, Antoine Griezmann

Wafungaji bora wa Ligi ya Mabingwa 2023/24: Harry Kane, Kylian Mbappé, Erling Haaland na Antoine Griezmann wote waliongeza idadi yao katika mechi zao za...

Nusu Finali ni ya Al Ahly Vs Esperance Sportive de Tunis na Mamelodi Sundowns Vs TP Mazembe

Nusu Finali ni ya Al Ahly Vs Esperance Sportive de Tunis na Mamelodi Sundowns Vs TP Mazembe. Vilabu mashuhuri barani Afrika, Al Ahly ya...

Usiku wa Ligi ya Mabingwa Barani Africa CAFCL April 5, 2024

Michezo michezo miwili ya Ligi Ya Mabingwa Barani Afrika CAFCL ulipigwa usiku wa Ijumaa kati ya miamba wa Miisri Al Ahly dhidi ya Simba...

KIMENUKA BRUNO GOMES ATIMUKA SINGIDA FOUNTAIN GATE SABABU ZOTE ZAELEZWA

Bruno Gomes Atimuka Singida Fountain Gate. Kiungo mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Mbrazili Bruno Gomes ametangaza kuachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya pande...
SportsUsiku wa Ligi ya Mabingwa Barani Africa CAFCL April 5, 2024

Usiku wa Ligi ya Mabingwa Barani Africa CAFCL April 5, 2024

Michezo michezo miwili ya Ligi Ya Mabingwa Barani Afrika CAFCL ulipigwa usiku wa Ijumaa kati ya miamba wa Miisri Al Ahly dhidi ya Simba SC huku mtani Young Africans akiwa ugenini kuwakabili Masandawana Mamelodi Sundowns katika michezo ya mkondo wa pili (Leg 2).

AL AHLY DHIDI YA SIMBA SC

Mnyama Simba Sports Club amepoteza mchezo huo kwa mabao 2-0  dhidi ya Al Ahly ya Misri huku mabao hayo yakipachikwa na Amr El Sulaya dakika ya 47 na Kahraba kwa mkaju wa penati dakika ya 90+9. Miamba hii ya Misri chini ya kocha Marcel Martin Koller waliibuka washindi kuelekea hatua ya nusu finali kwa jumla ya matokeo ya 3-0 huku takwimu za mchezo zikiwa kama ifuatavyo.

MAMELODI SUNDOWNS VS YOUNG AFRICANS

Baada ya kucheza kwa sare ya 0-0 katika mechi mbili, Sundowns ilishinda 3-2 kupitia mikwaju ya penalti Ijumaa na kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ya Caf.

Kilikuwa ni kipindi cha kwanza cha nafasi chache za kuahidi na timu hizo mbili zilianza kufungua kipindi cha pili.

Tukio la kutatanisha lililoifanya Sundowns kuwa na wasiwasi kisha likatokea dakika ya 59 wakati mwiba wa Aziz Ki ulipogonga mwamba wa goli na kuonekana kuvuka mstari wa goli.

Lakini mwamuzi alikataa kwamba juhudi za fowadi huyo wa Burkina Faso hazikuwa zimevuka mstari.

Timu hizo mbili zilishindwa kutambiana na kupelekea mechi moja kwa moja kwenda kwa mikwaju ya penalti ambapo Masandawana waliibuka washindi.

RELATED