LATEST POST

Fred Koublan Sio Mbovu kama wengi anavodhani ‘PASCAL KABOMBE

Fred Koublan Sio Mbovu kama wengi anavodhani 'PASCAL KABOMBE. "Kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu usajili wa dirisha dogo kwa timu mbalimbali japo kwa...

Yusuph Manji : Hans Poppe Aivuruga Simba

Yusuph Manji : Hans Poppe Aivuruga Simba. “Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya...

Wafungaji bora wa Ligi ya Mabingwa 2023/24: Harry Kane, Kylian Mbappé, Erling Haaland, Antoine Griezmann

Wafungaji bora wa Ligi ya Mabingwa 2023/24: Harry Kane, Kylian Mbappé, Erling Haaland na Antoine Griezmann wote waliongeza idadi yao katika mechi zao za...

Nusu Finali ni ya Al Ahly Vs Esperance Sportive de Tunis na Mamelodi Sundowns Vs TP Mazembe

Nusu Finali ni ya Al Ahly Vs Esperance Sportive de Tunis na Mamelodi Sundowns Vs TP Mazembe. Vilabu mashuhuri barani Afrika, Al Ahly ya...

Usiku wa Ligi ya Mabingwa Barani Africa CAFCL April 5, 2024

Michezo michezo miwili ya Ligi Ya Mabingwa Barani Afrika CAFCL ulipigwa usiku wa Ijumaa kati ya miamba wa Miisri Al Ahly dhidi ya Simba...

KIMENUKA BRUNO GOMES ATIMUKA SINGIDA FOUNTAIN GATE SABABU ZOTE ZAELEZWA

Bruno Gomes Atimuka Singida Fountain Gate. Kiungo mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Mbrazili Bruno Gomes ametangaza kuachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya pande...
SportsMATOKEO YA SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISON (Tar. 06. 03.2024)

MATOKEO YA SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISON (Tar. 06. 03.2024)

MATOKEO YA SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISON. Katika ukurasa utapata Matokeo na uchambuzi wa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Mnyama Simba Sc dhidi ya Wajelajela Tanzania Prisons Mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Jamuhuri Morogoro

UCHAMBUZI WA MWISHO WA MCHEZO SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISON

Uchambuzi na George Ambangile

Nafikiri kocha mzuri anayefanya homework kujua nguvu ya mpinzani na mapungufu yake , Ahmed Ally kocha wa TZ Prisons alichofanya

Dhidi ya Simba hutakiwi kuwa na abiria uwanjani , lazima uwe na watu wanapambania mipira , wanakimbia zaidi , lakini ukitembee , ukisinzia , ukiwapa muda na nafasi kwenye mpira basi kipo ambacho utakipata kibaya

Kwenda mbele jitahidi uwe na watu wenye kasi , Simba wakishambulia mara nyingi fullbacks wao huwa wanasogea juu zaidi ( huwa wana imani na mabeki wao wa kati kukabiliana na counter attacks ) kwahiyo ukiwa mfanisi utapata chochote kitu

Kiufupi : Zuia vizuri kwenye mita zako 30 za mwisho halafu shambulia vizuri kwenye transitions

Nafikiri leo Simba badala ya kusema wapi walikosea cha kwanza ni kuwapongeza Prisons jinsi walivyofanya kazi uwanjani … yes kuna nyakati walikuwa slow sana wachezaji wao kufanya maamuzi sahihi kama :-

  • 1: Kufanya runs mbele ili kumpa options mwenye mali
  • 2: Kupiga pasi haraka badala yake mchezaji anakaa na mpira muda mrefu
  • 3: Sehemu yenye kuhitaji utulivu ” baadhi ” yao walikuwa na maamuzi ya haraka : kama sehemu ya pasi mtu anauma meno kushuti .

NOTE

  • 1: Nafikiri goli la kwanza hesabu za Manula zilimpoteza ile touch ya mwisho ya Mbangula ilikuwa ndefu sana pengine Manula angeweza ku sweep
  • 2: Yona : amenivutia huyu kipa leo : sehemu ya kudaka krosi anafanya hivyo , sehemu ya kupanchi anafanya hivyo , yupo active sana kuhusika na mchezo hasa sweepings nyuma ya walinzi wake
  • 3: Nafikiri sehemu ambayo kocha wa Prisons atakuwa anashukuru ameshinda licha ya maamuzi yake ni kumtoa Samson Mbangula … baada ya pale mipira ilikuwa haikai mbele na ni mtu alikuwa anawafikirisha sana walinzi wa Simba
  • 4: Mipira iliyokufa Ngoma huwa anakuwa active sana anaijulia mno
  • 5: MBANGULA … a centre forward performance . Kucheza mbele peke yako sio rahisi aisee .!

MATOKEO YA SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISON (Tar. 06. 03.2024)

Full Time
SIMBA SC 1 : 2 TANZANIA PRISONS

RELATED