LATEST POST

Fred Koublan Sio Mbovu kama wengi anavodhani ‘PASCAL KABOMBE

Fred Koublan Sio Mbovu kama wengi anavodhani 'PASCAL KABOMBE. "Kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu usajili wa dirisha dogo kwa timu mbalimbali japo kwa...

Yusuph Manji : Hans Poppe Aivuruga Simba

Yusuph Manji : Hans Poppe Aivuruga Simba. “Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya...

Wafungaji bora wa Ligi ya Mabingwa 2023/24: Harry Kane, Kylian Mbappé, Erling Haaland, Antoine Griezmann

Wafungaji bora wa Ligi ya Mabingwa 2023/24: Harry Kane, Kylian Mbappé, Erling Haaland na Antoine Griezmann wote waliongeza idadi yao katika mechi zao za...

Nusu Finali ni ya Al Ahly Vs Esperance Sportive de Tunis na Mamelodi Sundowns Vs TP Mazembe

Nusu Finali ni ya Al Ahly Vs Esperance Sportive de Tunis na Mamelodi Sundowns Vs TP Mazembe. Vilabu mashuhuri barani Afrika, Al Ahly ya...

Usiku wa Ligi ya Mabingwa Barani Africa CAFCL April 5, 2024

Michezo michezo miwili ya Ligi Ya Mabingwa Barani Afrika CAFCL ulipigwa usiku wa Ijumaa kati ya miamba wa Miisri Al Ahly dhidi ya Simba...

KIMENUKA BRUNO GOMES ATIMUKA SINGIDA FOUNTAIN GATE SABABU ZOTE ZAELEZWA

Bruno Gomes Atimuka Singida Fountain Gate. Kiungo mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Mbrazili Bruno Gomes ametangaza kuachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya pande...
SportsYusuph Manji : Hans Poppe Aivuruga Simba

Yusuph Manji : Hans Poppe Aivuruga Simba

Yusuph Manji : Hans Poppe Aivuruga Simba. “Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi yake kuonesha kabisa kuwa Dabi inatakiwa kuwa na mvuto, alikuwa akizungumza na watu wanamuelewa, alinipa wakati mgumu sana.

“Hata niliposikia amefariki, ukweli kibinadamu nilisikitika sana kwa kuwa alikuwa ni mtu muhimu kwenye soka, lakini nilijua kabisa kuwa Simba inakwenda kupata wakati mgumu na hiki ndiyo kinatokea leo, nafikiri mechi umeiona na msimamo unaonesha hali halisi ilipo Yanga na Simba kwa sasa,” alisema Manji ambaye alidumu kwenye timu ya Yanga kwa miaka 13 kama mfadhili na Mwenyekiti.

“Tulikuwa tunapambana sana uwanjani, lakini tulikuwa marafiki, alikuwa akizungumza lazima nijue amesema nini, huyu alikuwa ana nguvu kubwa sana kwenye soka la Tanzania na alikuwa anaweza kufanya jambo lolote na watu wakamuelewa.”

“Nafikiri unakumbuka wakati tulipoichapa Simba mabao matatu hadi mapumziko, baadaye wakaja kurudisha yote. Hapa Hans Poppe alihusika, siwezi kukuambia alifanyaje, lakini nguvu yake ilisababisha Simba wakapata sare kwenye huo mchezo, alikuwa na ushawishi wa hali ya juu sana kwa wachezaji.”

Yusuph Manji – Mfadhili na Mwenyekiti wa zamani Young Africans

RELATED