LATEST POST

Fred Koublan Sio Mbovu kama wengi anavodhani ‘PASCAL KABOMBE

Fred Koublan Sio Mbovu kama wengi anavodhani 'PASCAL KABOMBE. "Kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu usajili wa dirisha dogo kwa timu mbalimbali japo kwa...

Yusuph Manji : Hans Poppe Aivuruga Simba

Yusuph Manji : Hans Poppe Aivuruga Simba. “Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya...

Wafungaji bora wa Ligi ya Mabingwa 2023/24: Harry Kane, Kylian Mbappé, Erling Haaland, Antoine Griezmann

Wafungaji bora wa Ligi ya Mabingwa 2023/24: Harry Kane, Kylian Mbappé, Erling Haaland na Antoine Griezmann wote waliongeza idadi yao katika mechi zao za...

Nusu Finali ni ya Al Ahly Vs Esperance Sportive de Tunis na Mamelodi Sundowns Vs TP Mazembe

Nusu Finali ni ya Al Ahly Vs Esperance Sportive de Tunis na Mamelodi Sundowns Vs TP Mazembe. Vilabu mashuhuri barani Afrika, Al Ahly ya...

Usiku wa Ligi ya Mabingwa Barani Africa CAFCL April 5, 2024

Michezo michezo miwili ya Ligi Ya Mabingwa Barani Afrika CAFCL ulipigwa usiku wa Ijumaa kati ya miamba wa Miisri Al Ahly dhidi ya Simba...

KIMENUKA BRUNO GOMES ATIMUKA SINGIDA FOUNTAIN GATE SABABU ZOTE ZAELEZWA

Bruno Gomes Atimuka Singida Fountain Gate. Kiungo mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Mbrazili Bruno Gomes ametangaza kuachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya pande...
SportsUKWELI WA MKATABA WA DUBE NA AZAM FC UPO HIVI "HAKUNA MIL...

UKWELI WA MKATABA WA DUBE NA AZAM FC UPO HIVI “HAKUNA MIL 700 ..SIASA TUPU…”

UKWELI WA MKATABA WA DUBE NA AZAM FC UPO HIVI "HAKUNA MIL 700 ..SIASA TUPU…”

UKWELI WA MKATABA WA DUBE NA AZAM FC UPO HIVI “HAKUNA MIL 700 ..SIASA TUPU…”. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria na Wananchama wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Eliud Mvela, amesema kuwa, hakuna anayeufahamu mkataba wa mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube na klabu yake hiyo.

Mvela amesema kuwa huenda hata hizo Tsh milioni 700 wanazotaka Azam walipwe na Dube au klabu inayomtaka ili kuvunja mkataba, hazijaandikwa kwenye kipengele chochote cha mkataba jambo ambalo amesema kuwa ni siasa za mpira tu.

“Hakuna aliyeuona Mkataba wa Azam na Dube na kama Dube angeona mkataba ni wa thamani kubwa kuvunjwa asingeingia katika vita hii. Na kule anakotaka kwenda wameona mashariti ya mkataba yapo ndani ya uwezo wao.

“Inawezekana kauli za Tsh milioni 700 Azam wanaongea siasa tu lakini si ajabu hizo milioni 700 hazimo katika mkataba. Timu za Bongo mwisho wataishia kukaa chini na kumalizana kama ilivyokuwa kwa Feisal,” amesema Mvella.

RELATED